Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameendesha kikao chenye malengo ya kuondoa changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo hususani katika mazao ya kimkakati ya Mkoa yaani korosho na Ufuta.
Hotuba kamili ya aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed Mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Mkuu wa Mkoa Mpya Kanali Patrick Kenan Sawala.
Kanali Ahmed Abbas Ahmed sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
Machi 14, 2024
Tazama Hotuba Kamili ya Mkuu wa Mkoa Mpya Kanali Patrick Kenan Sawala Mara Baada ya Kukabidhiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Awali, ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Machi 14, 2024.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.