Wadau wa mazao ya ufuta na mbaazi wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala wamekutana leo tarehe 14 Mei 2025 katika ukumbi wa Boma kufanya tathmini ya mazao hayo kwa msimu uliopita na kuweka mikakati kwa msimu ujao wa 2025/2026.
Kanali Sawala amewataka wasimamizi wa mazao hayo kusimamia ubora ili wakulima waweze kupata masoko ya uhakika na kwa bei nzuri.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.