• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

KIJIJINI KAMA MJINI; KIJIJI CHA MWISHO MTWARA CHAWASHWA UMEME

Posted on: October 28th, 2024

Historia imeandikwa leo tarehe 28 Oktoba, 2024 baada ya kijiji cha Makome A, kilichopo ya kata ya Mbawala, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kuwashwa umeme hivyo kufanya jumla ya vijiji vyote 785 vya Mkoa wa Mtwara kuwa na umeme.

Akizungumza mara baada ya kuwasha umeme huo Mhe. Kanali Patrick Sawala, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara amepongeza wakala wa nishati vijijini (REA) kupitia Wizara ya Nishati kwa kufikisha umeme kwenye vijiji kwa 100% ambapo sasa kazi inaendelea kuunganisha umeme kwenye vitongoji.

“Mhe. Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mtwara una vijiji 785 na vyote sasa vina umeme kwahiyo upande wa vijiji hatuna deni. Ilani ya CCM ilitutaka tupeleke umeme kwenye vijiji vyote ifikapo 2025 tumekamilisha kabla ya hapo, ni jambo la kujivunia kimkoa.” Alieleza Bw. Jonas Olutu, Kaimu Mkurugenzi wa REA.

Mwenyekiti wa bodi ya REA, Balozi Meja Jenerali mstaafu, Jacob Kingu ametoa rai kwa wananchi hao kuchangamkia fursa ya kuunganishiwa umeme kwa gharama ya shilingi 27,000/= tu.

Katika hatua nyingine, Bw. Olutu alimueleza Mkuu wa Mkoa kuwa Katika kuhakikisha wananchi wanatumia nishati safi ya kupikia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha itakayosaidia wananchi wa vijiji vya Tanzania bara kuweza kununua mitungi ya gesi kwa nusu bei, ambapo mkoa wa Mtwara mitungi ya gesi 16,275 itauzwa kwa nusu bei.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU 2025 KUPOKELEWA MKOANI MTWARA MEI 17

    May 15, 2025
  • MTWARA TUKO TAYARI KUUPOKEA NA KUUKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025

    May 14, 2025
  • UFUTA NA MBAAZI KUPIMWA KIDIGITALI MKULIMA KUPATA RISTI KUPITIA SIMU YAKE

    May 14, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE. KANALI PATRICK SAWA AKAGUA MRADI WA MAENDELEO TANDAHIMBA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.