Diraya Mkoa, Kuzijengea uwezo Serikali za Mitaa ili kuziwezesha kujiendesha kwa misingi ya UtawalaBora na kutoa huduma bora kwa Wananchi ili kujiletea maendeleo endelevu ya kijamiina kiuchumi kwa kushirikiana na Wadau wengine.
Mwelekeo. Kuendelea kuhakikisha kwamba maamuzi na maelezo mbalimbali yanayotolewa naSerikali yanatekelezwa kikamilifu na kwa mujibu wa sheria. Mkoa unatarajia kuendeleakutekeleza program zinazolenga katika kuboresha viwango vya huduma mbalimbalizitolewazo kwa wananchi na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.