• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Ukaguzi wa ndani


Tonindo Mabele. Mkaguzi wa Ndani +255-755-696899


Utangulizi 

Kitengo cha ukaguzi wa Ndani kilianzishwa mwaka 2001 chini ya sheria No 6. GN.132 ya tarehe 06/07/2001 ya mwaka 2001 pamoja na kanuni zake za mwaka 2004 GN .414 kupitia kifungu No.30 (1).

Lengo la  Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani.

  • Kutoa uhakika na ushauri kwa Afisa Masuuli kama sheria, kanuni na taratibu zinafuatwa katika mamlaka yake (Assurance) ili kufikia malengo ya Sekretariati ya Mkoa wa Mtwara.

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani.
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina majukumu yafuatayo:-

  • Kutoa ushauri na kukumbusha seksheni na vitengo katika Sekretarieti ya mkoa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa.
  • Kupitia mifumo mbalimbali ya udhibiti (“internal control systems”) na kutoa ushauri kwa Afisa Masuuli juu ya uboreshaji wake.
  • Kupanga na kufanya ukaguzi kwa kuzingatia maeneo yenye vihatarishi vitakavyasababisha kutokufikia malengo ya Mkoa (High Risk Areas).
  • Kusaidia utawala kuboresha utendaji ili malengo yaweze kufikiwa kwa kutoa ushauri mbalimbali kama inavyohitajika.
  • Kukagua na kutoa ushauri kwa Afisa Masuuli juu ya matumizi, utunzaji na usimamizi wa rasilimali zote za Serikali.
  • Kuratibu mafunzo ya kanuni na sheria za fedha, manunuzi pamoja na udhibiti wa vihatarishi.
  • Kazi nyingine zinazoelekezwa na Afisa Masuuli                  

Muundo wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani 
Kitengo kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani akisaidiwa na Wakaguzi wa Ndani wawili kwa mujibu wa PMG VOLUME II 2011/2012.

Nyenzo za kufanyia kazi.

  • Sheria ya fedha, pamoja na kanunni zake .
  • Miongozo ya kanuni za fedha
  • IPSASs, IPPF, MTWARA internal audit charter, Audit manual, Audit act
  • Mpango mkakati wa miaka mitano pamoja na mpango wa mwaka wa ukaguzi.
  • Sheria ya ununuzi pamoja na kanuni zake.
  • Miongozo ya kanuni za ununuzi.
  • Public services standing orders.
  • Sheria ya mahusiano kazini.
  • Mtwara Risk management framework.
  • Internal control framework.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • "JUNI 30, 2025 TUTAKUWA TUMEKAMILISHA MIRADI YOTE YA MAENDELEO" - KANALI SAWALA

    June 13, 2025
  • MIRADI YETU INAKIDHI VIGEZO VYA UBORA - KANALI SAWALA

    June 11, 2025
  • VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA MTWARA KUBORESHA ELIMU

    June 09, 2025
  • ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA ELIMU

    June 10, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.