• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Sekretarieti ya Mkoa, Aidha Kitengo hiki kinaongozwa na Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta Mkuu ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Majukumu ya Kitengo

Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano:

  • Kutayarisha mpango Mkakati wa kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
  • Kuishauri Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa juu ya masuala yanayohusiana na sera zinazohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya serikali mtandao.
  • Kuishauri Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa juu ya masuala yanayohusiana na sera, miongozo na taratibu zinazohusiana na takwimu.
  • Kusimamia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wake kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa.
  • Kushirikiana na OWM-TAMISEMI kuratibu na kuendeleza viwango vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa ajili ya “software na hardware” kwa matumizi ya Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
  • Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza na kutekeleza mipango/miradi ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
  • Kuratibu utekelezaji wa usanifu na kutunza/kuiendeleza matumizi yanayohusiana na Tovuti na utunzaji wa kumbukumbu kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa.
  • Kutoa na kuratibu msaada wa teknolojia ya habari kwa Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
  • Kutathimini, kuboresha na kusimamia teknolojia ya habari na mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya taarifa/habari iliyosimikwa/iliyowekwa kwenye Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
  • Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na teknolojia ya habari na mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo
  • Kufanya tathimini ya hatari/hasara zinazohusiana na miundombinu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na mfumo wa usimamizi wa taarifa na namna ya kuthibiti.
  • Kuendeleza na kutunza Tovuti ya Mkoa.
  • Kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwenye kushughulikia takwimu na taarifa
  • Kuandaa taarifa, kutunza, kuzipitisha hatua mbalimbali, kuzichambua, kuziwasilisha, kuzisambaza na kuzihifadhi.
  • Kushirikiana na Tume ya Taifa ya Takwimu juu ya masuala yote yanayohusu Mfumo wa Taifa wa Takwimu.

Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni nyenzo muhimu, ambayo mchango wake ni mkubwa katika kuharakisha kufikiwa kwa Malengo ya Milenia ifikapo mwaka 2025. Kukua kwa teknolojia katika Mkoa wa Mtwara, kuna mchango muhimu katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata taarifa kuhusu shughuli mbalimbali za utawala, sera na mipango kwa wakati muafaka, hivyo kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi yanayoathiri maisha yao. Kutokana na kuingia kwa utandawazi, dunia sasa imekuwa kama kijiji kimoja tena kidogo sana, kwani mawasiliano yamekuwa yakiboreshwa siku hadi siku na kuwa rahisi

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU 2025 KUPOKELEWA MKOANI MTWARA MEI 17

    May 15, 2025
  • MTWARA TUKO TAYARI KUUPOKEA NA KUUKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025

    May 14, 2025
  • UFUTA NA MBAAZI KUPIMWA KIDIGITALI MKULIMA KUPATA RISTI KUPITIA SIMU YAKE

    May 14, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE. KANALI PATRICK SAWA AKAGUA MRADI WA MAENDELEO TANDAHIMBA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.