Sunday 8th, December 2024
@HALMASHAURI ZOTE 9 ZA MKOA WA MTWARA
Wananchi wote watakiwa kujitokeza katika Maeneo yao pindi Mwenge wa Uhuru Utakapopita.
Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara tar. 30/05/2024 katika kijiji cha Mpapura.
Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru na Mkoa wa Ruvuma Tar. 8/06/2024 katika Kijiji cha Sauti moja Wilayani Nanyumbu.
Ratiba Fupi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara.
Mtwara MC 30/05/2024
Mtwara DC 31/05/2024
Nanyamba TC 01/06/2024
Tandahimba DC 02/06/2024
Newala TC 03/06/2024
Newala DC 04/05/2024
Masasi DC 05/06/2024
Masasi TC 06/06/2024
Nanyumbu 07/06/2024
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.