Sunday 8th, December 2024
@Chipuputa, Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa na Nchi zote wanachama wa Umoja wa Afrika na Washirika wake kila ifikapo tar 16 Juni. Lengo la Siku hii ni Kuelimisha na kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa kuzingatia haki za mtoto na kutathimini changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kuzipatia ufumbuzi.
Kauli Mbiu.
Elimu Jumuishi kwa Watoto: Izingatie Maarifa, Maadili na Stadi za Kazi
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.