• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Waziri Mkuu kutembelea Mtwara kKesho

Posted on: May 20th, 2018

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajia kutembelea mikoa ya Mtwara na Lindi kesho. Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Gasper Byakanwa wakati akizungumza na waandishi wa Habari ofisni kwake amesema Mheshimiwa Majaliwa ataanza ziara kwa kuzindua mradi wa kuiunganisha Lindi na Mtwara katika gridi ya Taifa ya umeme. Zoezi hilo litafanyika katika kijiji cha Mahumbika huko Lindi.

Baada ya zoezi hilo ataenda Bandari ya Mtwara kujionea miundombinu ya uingizaji wa mafuta kupitia Bandari hiyo kisha kuzindua upanuzi wa kituo cha kufua umeme cha Mtwara, umeme ambao kwa sasa unatumiwa na mikoa ya Lindi na Mtwara. Amesema upanuzi unahusisha ongezeko la Mashine mbili zilizoingia hivi majuzi za kufua umeme wa megawati 4. Kwa sasa kituo hicho kina mashine nane ambazo zikifanya kazi zote huzalisha megawati mbili mbili na kufanya jumla ya megawat 18.

Sambamba na uzinduzi Mheshimiwa Majaliwa atafanya mkutano wa Hadhara katika eneo hilo.

Mheshimiwa Byakanwa amewataka wananchi wote wa Mikoa ya Lindi na Mtwara kujitokeza kwa wingi kumlaki na kusikiliza jinsi serikali ya awamu ya tano inavyotekeleza ahadi zake.,

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 15, 2018
  • Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo February 09, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha NNe 2017 January 30, 2018
  • Mpangilio wa halmashauri /manispaa kwa ubora wa ufaulu katika mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) 2017 February 06, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Fukwe ya Msangamkuu Ifunguwe fursa ya Utalii Mtwara

    February 14, 2019
  • DC wa kikoloni Asimulia wakoloni walivyochemka ujenzi Bandari ya Mtwara

    February 06, 2019
  • Wawekezaji wa korosho waendelea kujitokeza Mtwara

    February 04, 2019
  • RC Mtwara awataka wadau kukamilisha ahadi ya ujenzi wa madarasa

    January 30, 2019
  • Tazama Zote

Video

ZOezi la Serikali Kununua korosho linaenda vizuri - Waziri
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Investment Projects
  • Tazama matangazo ya TBC1 Mubashara Hapa

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.