• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Wilaya ya Nanyumbu

Wilaya ya Nayumbu ilitangazwa rasmi kuwa Wilaya na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Benjamin William Mkapa, tarehe 29/07/2005. Makao Makuu ya Wilaya ni Mji wa Mangaka.

Wilaya ya Nayumbu ina ukubwa wa kilometa za Mraba 5071.5 sawa na asilimia 30 ya eneo lote la Mkoa wa Mtwara.

Wilayah hii inapakana na wilaya ya Nachingwea kwa upande wa kaskazini, Wilaya ya Masasi kwa upande wa Mashariki, Jamhuri ya Msumbiji upande wa Kusini na Wilaya ya Tunduru upande wa Magharibi.

Wilaya inapata mvua za kati ya 400mm na 832mm kwa mwaka na wastani wa joto ni kati ya nyuzi joto 250C na 320C.

Kwa Mjibu wa Sensa ya Kitaifa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Wilaya ilikuwa na jumla ya wakazi wapatao 150,857 (wanawake 72,237 na wanaume 78,620). Ongezeko la watu ni wastani wa asilimia 2.1 kwa mwaka. Pato la mwananchi wa Wilaya ya Nanyumbu linakadiriwa kuwa Tshs 442,572 kwa mwaka.

Zaidi ya asilimia 80 ya wakazi wa Wilaya ya Nanyumbu wanategemea kilimo kwa ajili ya kujipatia chakula na mapato. Mazao ya biashara yanayolimwa ni Korosho, Ufuta, Karanga, Choroko na Mbaazi. Mazao ya chakula ni Mahindi, Mpunga, Muhogo, Mtama, Mbaazi, NjuguMawe, Kunde na Upupu.

Fursa za uwekezaji zilizoko katika Wilaya ya Nanyumbu ni pamoja na

  • Kilimo cha umwagiliaji hususani kilimo cha Mpunga, Mahindi na mazao ya bustani. Kilimo hiki kinaweza kufanyika katika eneo la kijiji cha Masuguru na Lukula kwa kutegemea maji ya mto Ruvuma. Eneo linalofaa ni (Hekta 4088).
  • Mifugo. Uimarishaji wa shughuli za ufugaji/uendelezaji wa ranchi ya mifugo ndani ya Wilaya. Eneo lililopo ni hekta 5,000 katika Wilaya Nanyumbu na Ufugaji Mkubwa wa kuku, Mbuzi na Mifugo Mingine.
  • Utalii. Pori la akiba la Lukwika Lumesule. Poli linao wanyama wa aina nyingi. Watalii wanakaribishwa kwa ajili ya kujionea maajabu ya uumbaji wa Mwenyezi Mungu
  • Viwanda. Uwekezaji katika Viwanda vya Kusindika mazao (Agro Processing) kwa mazao ya Korosho, Ufuta, Choroko na Mbaazi.
  • Afya. Uwekezaji katika ujenzi wa miundombinu ya utoaji wa huduma za afya kama Hospitali na Vituo vya Afya. Kwa sasa hakuna Hospitali ya Wilaya.
  • Maji. Hadi sasa upatikanaji wa maji upo chini ya asilimia 35 kwa wananchi wa Nanyumbu.
  • Elimu. Kwa sasa Wilaya haina shule ya sekondari ya kidato cha sita. Haina chuo cha Ufundi VETA, Haina Chuo Kikuu. Kwa ujumla Elimu bado ni changamoto kubwa.
  • Fedha. Uwekezaji katika miundombinu ya fedha. Wilaya ina Benki moja tu ya NMB.

Matangazo

  • Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo February 09, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha NNe 2017 January 30, 2018
  • Mpangilio wa halmashauri /manispaa kwa ubora wa ufaulu katika mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) 2017 February 06, 2018
  • Mpangilio wa mikoa kwa ubora wa ufaulu katika mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) 2017 February 06, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Maafisa Tarafa wakabidhiwa Pikipiki Mtwara

    May 18, 2020
  • RC Mtwara amlilia DC Mmanda

    April 27, 2020
  • Watanzania washauriwa kuwekeza kwenye kutengeneza Barakoa

    April 17, 2020
  • CRDB waongeza nguvu mapambano ya CORONA Mtwara

    April 16, 2020
  • Tazama Zote

Video

C Byakanwa apiga marufuku mahindi ya kuchoma. awataka wananchi kutunza chakula
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Investment Projects
  • Tazama matangazo ya TBC1 Mubashara Hapa

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.