• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Historia


Mkoa wa Mtwara ulianzishwa rasmi mwaka 1971 kutokana na Mpango wa Madaraka Mikoani ambao ulilenga kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi. Kabla ya hapo mkoa ulikuwa ndani ya Jimbo la Kusini ambalo lilijumuisha Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara ambapo Makao Makuu ya Jimbo yalikuwa Lindi.

Mkoa huu ulipoanzishwa ulikuwa tayari na Wilaya tatu (3) ambazo ni Masasi iliyoanzishwa mwaka 1928 chini ya ukoloni wa Waingereza, Newala mwaka 1956 chini ya wakoloni wa Kiingereza na Mtwara ilianzishwa mwaka 1961. Kutokana na ongezeko la watu na kukua kwa Mkoa wa Mtwara ziliongezeka Wilaya nyingine 2 ambazo ni Wilaya ya Tandahimba iliyoanzishwa mwaka 1995 kutoka kwenye Wilaya ya Newala na Nanyumbu ilianzishwa mwaka 2006 kutoka Wilaya ya Masasi.

Neno Mtwara limetokana na neno la lugha ya Kimakonde “kutwala” ikiwa na maana ya kuchukua (kunyakua) kitu chochote.

 Orodha ya Wakuu wa Mkoa wa Mtwara

  •  Bw. John Nzunda 1962-1972
  • Dr.Wilbert Kleruu 1972-1974
  • Balozi Charles Kileo 1974-1977
  •  Lt. Col Kabenga Nsa Kaisi 1978-1980
  •  Bw.Lawi Nangwanda Sijaona 1980-1981
  •  Bw. Ibrahim Sufian Kajembo 1981-Desemba 1990
  •  Col. Ferdinand Swai Desemba 1990-Februari 1992
  •  Bibi Kate Kamba Februari 1992-Mei 1994
  •  Col. Kabenga Nsa Kaisi Mei 1994-Februari 2003
  •  Bw. Isidore Leka Shirima Februari 2003-Januari 2006
  •  Bw.Henry Daffa Shekifu Februari 2006-Aprili 2007
  • Col.Mst. Anatoli A. Tarimo Mei 2007-Septemba 2011
  • Col. Mst. Joseph Simbakalia Sept. 2011-Novemba 2014
  • Mhe. Halima Omari Dendego Novemba 2014-Oktoba 2017
  • Mhe. Gelasius Gasper Byakanwa OKtoba 2014-sasa 

kwa maelezo zaidi bonyeza HAPA 

Matangazo

  • Majina ya watumishi wa umma wanaostahili kulipwa madai ya malimbikizo February 09, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha NNe 2017 January 30, 2018
  • Mpangilio wa halmashauri /manispaa kwa ubora wa ufaulu katika mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) 2017 February 06, 2018
  • Mpangilio wa mikoa kwa ubora wa ufaulu katika mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) 2017 February 06, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Maafisa Tarafa wakabidhiwa Pikipiki Mtwara

    May 18, 2020
  • RC Mtwara amlilia DC Mmanda

    April 27, 2020
  • Watanzania washauriwa kuwekeza kwenye kutengeneza Barakoa

    April 17, 2020
  • CRDB waongeza nguvu mapambano ya CORONA Mtwara

    April 16, 2020
  • Tazama Zote

Video

C Byakanwa apiga marufuku mahindi ya kuchoma. awataka wananchi kutunza chakula
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Investment Projects
  • Tazama matangazo ya TBC1 Mubashara Hapa

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.