MMM Ramani ya tovuti Barua Pepe Mrejesho

Mkoa wa Mtwara

Utangulizi

Tovuti bado iko katika matengenezo. Kazi inaendelea

Habari na Matukio

Tarehe: 11 Jul 2015

Watekelezaji wa Miradi ya TASAF Mkoani Mtwara katika kunusuru kaya masikini wametajwa kuwa bora kuliko wote nchini katika uwasilishaji wa taarifa zenye kujibu hoja mhimu juu ya mpango huu. Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo...

Tarehe: 05 Jul 2015

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Mathias Chikawe amefungua duka la Jeshi la Magereza Mkoani Mtwara kwa kuwataka wanajeshi kuitumia nafasi hiyo kujiendeleza kimaisha. Duka hilo lililofunguliwa leo katika gereza la Lilungu linatara...

Tarehe: 03 Jul 2015

Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda amesema Mtwara ni mji ambao baada ya muda mfupi utakuwa na maendeleo makubwa ya viwanda kutokana na rasilimali gesi asilia iliyogunduliwa Mkoani hapa. Amesema gesi hiyo imeufany...